Huwezi amini kuna Serikali yaani
Pembeni kote na Barabarani kabisa kumejaa machinga na parking za bodaboda
Inayotumika ni Barabara ya Kati, humo humo watembea kwa miguu, bodaboda, bajaji, mwendokasi magari madogo, fuso nk
Kuzaliwa Dar kweli form six, yaani MTU anapishana na mwendokasi ziro...