Mwenyekiti wa Tume ya kutathmini matumizi ya ardhi katika eneo la Ngorongoro mkoani Arusha, Jaji Dkt. Gerald Ndika, amesema baadhi ya wananchi katika maeneo ya hifadhi na mapori ya akiba wameeleza malalamiko yanayohusu matumizi ya ardhi na ushirikishwaji katika maamuzi.
Akizungumza Alhamisi...