Hiv karibuni kumekuwa na malalamiko dhidi ya kizazi cha Gen Z maarufu kama "Watoto wa Elfu mbili". Je, unadhani shida iko kwa kizazi hiko au wale waliopitia mikononi mwao ikiwa ni Wazazi, Walezi, Walimu au Mentors wao au mabadiliko ya dunia?
Na kama shida iko kwa kizazi hiki ni ushauri gani...