geita dc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Geita DC yatoa mkopo wa bilioni 1.15 kwa vikundi 111 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita imetoa mikopo ya Shilingi Bilioni 1 na Milioni 156 kwa vikundi 111 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu. Mikopo hiyo imetolewa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Serikali la kutenga asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya kuwawezesha wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…