ge2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Tetesi: Michezo ya kitoto kuelekea ‘usuluhishi’ hewa

    Kwa sasa kinachofanyika upande wa serikali ni kutengeneza mazingira ya kuwa na bargaining power kwenye kile kinachopangwa kuitwa muafaka/maridhiano/suluhu ya kitaifa. Moja ya karata itakayowekwa mezani ni suala la serikali kuwaachia huru watuhumiwa wote wa uhaini hewa waliokamatwa kwenye...
  2. U

    GE2025 GE2025 Aftermath: Ansbert Ngurumo atoa way forward ya kuepusha maafa zaidi. Vijana wasikilizwe. Ataja sauti ambazo zikisikika, vijana watatulia

    https://youtu.be/w4PaC1WPzZ8?si=wfc9MTlpEQMULdIC Amesema haya: 1. Vijana ni lazima wasikilizwe na wasipuuzwe asilani kuanzia sasa 2. Ashangaa alichodhani hakiwezi kutokea Tanzania kimetokea, kwamba watu hususani vijana wanaweza kuandamana kuipinga serikali na utawala uliopo 3. Ameshauri way...
  3. I

    Tafakuri ya kina ya No Reforms, No Election

    Habari watanzania Bila kupoteza muda ningependa niende moja kwa moja kwenye mada ninayotaka kuongolea. Kila mmoja nadhani atakubaliana nami kwamba swala la NO REFORMS NO ELECTION limeibua hisia tofauti akilini mwa watu, Kiuhalisia mjadala wa NO REFORMS NO ELECTION si jambo dogo kwa kuwa ni...
  4. A

    GE2025 CCM kuomba tone tone ni kama kunyonya damu kwa mgonjwa

    Bila shaka wewe na mimi tumekuwa ni sehemu ya Ushuhuda wa Kauli mbali mbali za Viongozi wa Chama Wakijinasibu kuwa Chama Chetu ni Chama Tajiri na Chenye Wanachama Wengi. Halikadhalika tumeshuhudia chama chetu kikiwa ni sehemu ya Mnufaika mkuu wa Ruzuku ya Uendelezwaji wa Maendeleo ya Chama, si...
  5. M

    Askofu Gwajima kada wa chama aliyeamua kujihatarisha kuokoa nchi yake

    GWAJIMA KADA WA CHAMA ALIYEAMUA KUJIHATARISHA KUOKOA NCHI YAKE Askofu Gwajima siku ya jana alitoa ushauri kwa mamlaka za kiserikali kutokana na sakata la utekaji lililozidi sana nchini kwa sasa. Katika hotuba yake ya lisaa limoja, Askofu Gwajima amenukuliwa akisema utekaji sio utamaduni wetu...
  6. Wakenya punguzeni kiherehere

    Siku chache zilizopita nilikuwa na fikra za kuwaona Wakenya kama ni ndugu wa Watanzania. Lakini nimebaini nyie sio ndugu wala hatupaswi kuambatana nanyi abadani. Tanzania ni Jamhuri inayojitegemea na ina utaratibu wake wa kujiongoza. Hatuna unasaba wa kupeana maelekezo ya nini tufanye kwa tamaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…