Jeshi la polisi Mkoa wa Morogoro linamsaka dereva wa Lori la kusafirisha mafuta anayetambulika kama Abubakari Adam Mwichangwe, mkazi wa Dar Es Salaam kwa kosa la kula njama ya kuharibu gari na kuiba mafuta lita 35,700 yenye thamani ya Tsh 77,112,000/= mali ya kampuni ya ACER Logistics Limited...