gari bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    KWA BIASHARA YA TIPPER TRUCKS (KUBEBA MCHANGA NA VIFUSI , KATI YA FAW NA HOWO IPI NI GARI BORA KWA MFANYABIASHARA MPYA ANAYETAKA KUANZA HIYO BIASHARA

    Habari wadau? Naomba ushauri kwa wale wenye ufahamu n uzoefu wa hii biashara ya ma-tipper kati ya Howo na Faw zote zikiwa mpya 0km ni ipi bora kuanza nayo kwa mfanyabiashara mpya na ipi pia ukitaka kuuza baada ya kuitumia kwa mwaka mmoja au miwili inakuwa na demand kubwa toka kwa wanunuzi?
  2. Car4Sale INAUZWA Noah new Shape

    Namba dxk🔥 Year2010 Cc Full Air condition Engine safii Gear box safii Price 13.7m✅ Iko vizur sana 🔥 ☎️0718578433 📍 ipo Dar es Salaam
  3. Nissan march(baadhi ya maeneo huitwa Nissan mirca) ni gari Bora Sana kwa matumizi ya miji

    Nissan March ilianzishwa na kampuni ya Nissan Motor Co. Ltd na ilizinduliwa kwa mara ya kwanza katika nchi ya Japan mwaka wa 1982 Nissan March ilikuwa ni gari la aina ya hatchback linalolenga soko la magari madogo (compact cars). Lengo kuu la gari hili lilikuwa kutoa chaguo la kiuchumi kwa...
  4. J

    Gari gani bora kuanza kuimiliki kati ya hizi nne?

    Habari ya asubuhi ndugu zangu. Nahitaji kununua gari yangu ya kwanza lakini napata wakati mgumu kwenye kufanya uchaguzi. Kwa wabobezi wa mambo ya magari ni ipi tolea zuri kumiliki kati ya gari hizi kwa kuangalia uimara na upatikanaji rahisi wa spareparts. 1. Crown Athlete 2. Mitsubish...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…