g55 ya chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 John Mrema: Watia nia na waliounga mkono G55 wanatishiwa na maelekezo yamepelekwa ngazi ya chini kuwa wafukuzwe

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye mkutano wake na waandishi wa habari John Mrema alisema kuwa makada waliosaini waraka wa G55 wanatishiwa na maelekezo yameshafika hadi matawini kuwa wafukuzwe: "Kuna utamaduni mpya umeanza kuonekana ndani ya CHADEMA siku za hivi karibuni, moja ni kuhusu...
  2. PreGE2025 G55 wakiongozwa na John Mrema wanazungumza na wanahabari muda huu

    Wakuu, Siku ya leo, kada maarufu wa CHADEMA John Mrema ambaye siku chache nyuma alitoa msimamo wa kupinga msimamo wa CHADEMA wa No Reforms No Elections kupitia kikundi cha G55, anatarajiwa kuzungumza na wanahabari. Bado haijajulikana ataenda kuongea nini, kama bado atashikilia uamuzi wake wa...
  3. PreGE2025 Kubenea: Zaidi ya asilimia 50 waliosaini waraka wa G-55 wanatoka Kaskazini. Ningekuwa CHADEMA ningewafukuza

    Mbunge wa zamani wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea ameyasema hayo akihojiwa na Wasafi FM. Amesema Si kwamba wanatoka Kaskazini sijui Tanga, ila ni Arusha na Kilimanjaro. Ameongeza kuwa G55 ni watu wa Mbowe na bado hawajakubali kama wameshindwa ndio maana wanafanya uhuni. Pia soma >...
  4. PreGE2025 Ni wakati muafaka sasa kwa G55 kushika hatamu ya uongozi CHADEMA baada ya Lissu kupoteza uelekeo na kukamatwa

    Kwasababu uongozi wa Lisu hakubaliki kwa wanachadema na agenda zake za kuwatenga wanachadema na michakato ya kidemokrasia, zinapingwa na wanachadema wengi kuelekea uchaguzi mkuu wa October. Na ndio maana unaona amekamatwa na polisi na hakuna mwanachadema anaeshtuka, anaesikitika wala kubabaika...
  5. Maoni yangu kuhusu waraka wa G55 ya CHADEMA

    Nimeshangazwa kuwa andiko lenyewe kumbe lilikusudiwa liwe ni kwa ajili ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, lakini limekuwa ni nyaraka kwa umma (Public document) Kwa mujibu wa andiko lenyewe, ni kwamba kundi la watu 55 liliandika barua hiyo kwenda kwa Katibu baada ya kuingia hofu kwamba maoni yao...
  6. Sikumuelewa Lissu na wala sikumuunga mkono awe Mwenyekiti lakini sasa nakubaliana naye 100%

    Waliosema muda ni mwalimu mzuri wala hawakukosea, wakati wa mchakato wa kumpata mwenyekiti wa Chadema sikutaka Lisu ashinde niliunga mkono Mbowe atosha. Lakini kama unavyojuwa muda sasa unaongea kumbe siasa za maridhiano ni mradi wa watu wachache chamani huku Watanzania wengi wakiendelea...
  7. A

    PreGE2025 G55 wanapaswa kusimamishwa uanachama CHADEMA

    Bado nitaendelea na msimamo ule ule wa CHADEMA kuwafuta uanachama, wanachama wanaotaka kukwamisha mipango ya chama. Kama ningekuwa sehemu ya maamuzi ya CHADEMA, ningeshauri wajibiwe hoja zao zote kwa maandishi, na baada ya hapo utaratibu wa kuwasimamisha uanachama uanze mara moja. CHADEMA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…