Wakuu,
CHAUMMA inapokea wanachama wapya wakati huu kutoka G55
https://www.youtube.com/live/F2vujXgaQ8I?si=JXMwKc7Puisgjq6K
Catherine Ruge, Mrema na wengine baada ya kupewa kadi ya uanachama wa CHAUMMA na kuwa wanachama rasmi wa chama hicho, waandishi wa habari wametoka nje kuwapisha CHAUMMA...