Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia kampeni ya kitaifa ya Futa Delete Kabisa inaendelea kusisitiza endapo utapokea ujumbe wenye matusi, uongo au unaoeneza chuki na kuvunja amani katika jamii basi futa na delete kabisa ujumbe huo. Aidha, inasisitiza kujenga tabia ya kuhakiki taarifa...