fursa za migodini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi nikitaka kuuza madini lazima niwe na kibali ?

    Habari wana JAMII FORUM naomba kujua nikiwa na madini naweza kuuza bila kua na vibali vya uchimbaji ?
  2. Fursa zinazopatikana maeneo ya migodini

    Naomba niende chap kwenye point yangu. Nimekuwa mzoefu na sehemu za mgodi kwasababu pia nimefanya kazi mgodini,huko buana kuna fura nyingi ambazo zina ela nzuri tu. Mfano kwa mtu abaeweza akapata spare za machine za mining, magari na mining equipment machine zote utapata ela sana. Lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…