fursa kwa wawekezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuwa tajiri ni kucheza na wakati, eneo, bidhaa na fursa

    Uwezi kuniambia leo unataka kutajirika kwa kuuza CD na DVD miaka hii. Miaka ya nyuma kampuni ya maji Kilimanjaro ndio ilikuwa kampuni ambayo kila shuguli,mikutano,harusi lazima yawepo. Baada ya wakina bhakresa nao wakajikita na maji kandoro na mwisho kuwa ya bongonyo. Lakini leo kila mkoa...
  2. JamiiForums Tanzania UTT AMIS Kuna jambo haliko sawa Kwa wawekezaji

    Mteja akiwekeza fedha zake kwenye Hati fungane ( security Bond) mkikubaliana ulipwe Kila baada ya mwezi faida,Kuna changamoto mbili. 1) Ukiweka kwenye account Yako ya UTT Hela hazionekani kwenye mfumo mpaka baada ya 2 mpaka tatu. ( Kwakuwa wanatumia system sioni mantiki ya siku tatu Hela...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania ya Tatu (3) barani Afrika kwa nchi zenye Fursa kwa Wawekezaji wa siku za usoni

    Miongoni mwa nchi zinazoongoza kusini mwa jangwa la Sahara ni Tanzania na mji wake mkuu wa kibiashara, Dar es Salaam, zimepata nafasi muhimu katika ramani ya uwekezaji duniani kwa kuwa nafasi ya 3 katika miji mizuri kuwekeza Afrika. Ripoti ya hivi karibuni kutoka KPMG, "Doing Deals in...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…