fundi tiles

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Makadirio ya tiles kwa nyumba ya ukubwa huu mkoani Mwanza

    Wakuu habari za majukumu, Kama title ilivyo, naomba mnisaidie kujua makadirio yote kwa ujumla maana nimesikia ukiachana na tiles, mchanga, maji na cement, kuna kitu inaitwa grout, skating, Ukubwa wa vyumba ni kama ifuatavyo: Sitting Room: 525*630 Master Bedroom: 524*385 Bedroom 1: 280*410...
  2. FAHAMU MACHACHE KUHUSU CERAMIC TILES

    CERAMIC TILE FAHAMU MACHACHE KUHUSU CERAMIC TILE Na Ochoa Home Decor NI ZIPI CERAMIC TILE? Ceramic tile ni zile tiles zote zinazonyonya maji kuanzia asilimia 6.9 na kuendelea (6.9%...) Hizi zimetengenezwa kwa material mepesi zaidi... AINA ZA CERAMIC TILE. Kunaaina mbili za Ceramic tile...
  3. Ninahitaji fundi tiles, site ipo mkoa wa Tanga

    Habari km kichwa Cha habari kinavyoonyesha nnahitaji fundi tiles site ipo mkoa wa Tanga naomba na fundi wakuwepo Tanga maana kazi yangu ni kubwa Hila sio ya kutengeneza Kwa mara moja ndio maana nnataka fundi wa huku huku Tanga maana tutakuwa tunapga vyumba viwili tunakaa wiki tunapga Tena Sasa...
  4. Pendezesha nyumba yako na Fundi Tiles Dodoma

    Je unatafuta Fundi tiles (Fundi Vigae) (Fundi ceramics)? Kwa design nzuri na ubora wa nymba yako, tonaoatikana Dodoma. Tuna uzoefu wa miaka zaidi ya kumi Tunakufanyia free consultation na gharama za kazi yote pamoja na vipimo Piga Namba 0757915043
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…