Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuufahamisha Umma kwamba, Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imeondoa hitajio la visa kwa Raia wa Tanzania wanaoingia DRC kuanzia March 20, 2025.
Taarifa iliyotolewa na Wizara imesema baada ya Jamhuri ya...