Rais wa Marekani Donald Trump amenaswa na kamera akionekana kuinua kidole chake cha kati na kutamka neno lenye maana ya tusi kwa mfanyakazi mmoja wakati wa ziara yake kwenye kiwanda cha Ford River Rouge huko Dearborn, Michigan siku ya Jumanne Januari 14, 2026.
Tukio hilo limekuja baada ya...