Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Sauti ya Umma (Sau), Amour Hasi Ali (kushoto) akimkabidhi fomu ya kugombea urais, Majaliwa Kyara (kulia) katika ofisi za chama hicho zilizopo Magomeni Kagera jijini Dar es Salaam. Wakati akichukua fomu hiyo, Majaliwa amesema amepanga kutengeneza Taifa lenye maadili...