Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Muhambwe tarehe 19 June 2025 amekabidhi Bati 200 Soko la Mabamba lililoezuka Tarehe 8/02/2024 baada ya kuwa lilikuwa limechoka Tangu kujengwa Mwaka 1983.
Ambapo amekili kupokea Bati hizo AFISA Mtendaji wa Kata ya Mabamba-Paschal Ngendabanka, wakiwepo...