“Kuna watu fulani sikuhizi mbili tatu walikuwa wanabeza uwandishi wangu wa Habari Mimi ni Mwandishi wa Habari hasa Tena Field Journalist nimefanya Makubwa nchini ingekuwa Jeshini Vitani ningekuwa FIELD MARSHAL”
Labda tujiulize uandishi wa habari wa kuwajibika (responsible journalism) nini...