Baada ya research ya muda mfupi iliyosababishwa na kuongezeka kwa bei za Access Point nimekuja na suluhu ya bei rahisi, salama na yenye uwezo sawa na ule wa special Access points devices.
Kuna hizi router zinazotumiwa na watoa huduma wa fiber, hizi router zimetengezwa maalum kwa matumizi ya...