Na Mwl. Udadis, Mazimbu
Value Retention Fee (VRF) kwa lugha ya Kiswahili ni tozo ya kutunza thamani ya fedha (mkopo). Kwa wanufaika wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, kila mmoja alikuwa akilipa 6% ya deni kama VRF, jambo lililokuwa likiumiza wanufaika. Kitendo cha Rais Samia kuamua kufuta tozo...