As a man, you can’t stop spending. Just Pray you don’t stop earning.
Matumizi kwa mwanaume hayakwepeki, ogopa tu siku ambayo utaishiwa pesa.
kusanya mzigo wa kutosha uweze kukusaidia uzeeni ufe kwa heshima.
Kuvaa, kula, pango, usafiri, n.k. ni juu yako
Kupata mpenzi utahitaji kutumia pesa...