Kutokana na changamoto kubwa ya upatikanaji wa ajira na mitaji ya kujiajiri hapa nchini, ninaomba Serikali iangalie upya sera ya mafao ya NSSF na kurejesha rasmi Fao la Kujitoa kwa Wafanyakazi wanaoachishwa kazi au ambao mikataba yao imekoma katika sekta binafsi.
Kwa mujibu wa mfumo wa sasa...