fair play

The International Fair Play Committee (French: Comité international pour le Fair-Play), abbreviated as the CIFP or the IFPC, is a not for profit international non-governmental organisation which serves to foster sportsmanship in international competition. It presents awards annually at the World Fair Play Awards to recognise acts of fair play carried out by sportspeople or teams. The awards ceremony is held in various locations and has been broadcast on television in Europe.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wito kwa TFF: Je, si wakati sasa wa kuleta mfumo wa "Financial Fair Play" (FFP) kwenye Ligi Kuu ya Tanzania?

    Habari zenu wana Jamii forums!! Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) kwa sasa inatajwa kuwa miongoni mwa ligi bora barani Afrika kwa ubora na ushindani. Tumeona uwekezaji mkubwa wa haki za matangazo (TV Rights) kutoka Azam TV na wadhamini wengine, jambo linalofanya ligi yetu kuvutia...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini mechi inapoanza (Both halves), mpira usipigwe kwenda upande wa mpinzani kama sehemu ya kuonesha "Sportsmanship" na "Fair play"??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Kama ambavyo wachezaji hupeana mikono baada ya mechi kwisha na kabla ya mechi kuanza, kwanini wasianzishiane mpira in the opposite directions kwa both halves?? Yaani katika mechi mfano ya Yanga vs Simba, kama mpira upo kati na wanao wachezaji wa Yanga kutaka kufanya...
  3. W

    JamiiForums Tanzania al masry wako fair play

    salamu ndugu zangu..!? al masry kwa nilivyowaona wanacheza mchezo mzuri wa fair play. katika mchezo uliopita pengine unaweza kusema walikuwa na uhitaji wa magori mengi lakini hili nakataa nakataa kwasababu wao hawakuwa wamiliki wa mpira tena kwa yale mashambulizi ya simba ni wazi wangekuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Feisal Apewe tuzo Ya Fair Play Kwa Kitendo Alichofanya Jana kwenye mchezo kati ya Yanga VS Azam

    Jana kwa walioangalia mpira kuna muda Khalid Aucho alifanyiwa madhambi ya makusudi kabisa na mchezaji wa Azam sijui nani yule. Kipindi hicho tayari ana kadi ya njano na alitaka kuinuka kwa gadhabu sana ili akamvae yule jamaa lakini Feisal akamuwahi kumzuia. Mind you kama Feisal angemuacha ina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…