Faida za kiafya za magimbi (Arrow root):
Magimbi yana virutubisho kama vitamini C, E na B6. pia madini ya potassium, phosphorus, shaba, magnessium na manganese. Pia magimbi yana protini na fati
■ Husaidia katika kudhibiti kiwango cha sukari hufanya isipande.
■ Hupunguza kasi ya mmeng’enyo wa...