Kamati ya Bunge ya mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya imepiga kura ambapo kura 53 zimeunga mkono pendekezo la kusitisha Euro Milioni 156 kwenye mpango kazi wa Tanzania kwa mwaka 2026 huku kura mbili pekee zikiamua kwenda tofauti.
Mwenyekiti wa kamati hiyo, David McAllister amesema Tanzania imeamua...