Kufuatia kukua kwa sekta ya Anga. Kampuni ya usafirishaji ya Esther Luxury inatarajia kuanzisha safari za ndege kwa kutumia ndege za ATR 72-600 (zipo 3) na Boeing 737 (zipo 2) na Boeing 787 (ipo 1) kutokea Julius Nyerere International airport (DAR) kuelekea Dodoma, Mwanza, Kilimanjaro, Zanzibar...