dr. sulle

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr. Sulle unatudanganya sana hapa waislam na raia kwa ujumla

    Asalaam Aleykhum Warahmatullah wabarakatul Sheikh wangu Dr. Sulle unatudanganya sana na kupotezea Waislam mwelekeo wa kupata Elimu sahihi hasa ILMU DUN'YA Umesema kuwa jina la jiji kubwa Marekani LOS ANGELES limetokana na neno LOST ANGELS ndio maana kunq madhambi sana Marekani, kitu ambacho ni...
  2. Sheikh Dr. Sulle atumia maji kuponya waumini wa kiislamu

  3. PreGE2025 Dr. Sulle akabidhiwe Wizara ya Mambo ya Ndani

    Kwamba, kwa kuwa Dr. Sulle kagundua kuwa Wamasai walioandamana Ngorongoro si Watanzania bali ni Wakenya wenye nia mbaya dhidi ya Tanganyika, inaonesha ya kwamba yeye yupo makini zaidi kuzidi vyombo vyetu vya dola. Kama ndivyo, ni vizuri akakabidhiwa Wizara ya Mambo ya Ndani pamoja na ukuu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…