dome okochi budohi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Siku ya Mashujaa: Dome Okochi Budohi Mkenya Katika Harakati za Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Kuhusu Dome Okochi Budohi (Mkenya aliyepigania Tanganyika) Mchango wake katika TANU: "Dome Okochi Budohi... kadi yake ya tano... ni mtu alikuwa anajua kila siku na mimi nimepata mengi... amekamatwa katika ardhi ya Tanganyika wakati akifanya harakati za tano." Kukamatwa na kuteswa: "Nimemuona...
  2. JamiiForums Tanzania Siku ya Mashujaa: Dome Okochi Budohi Mkenya Katika Harakati za Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/TFgNAKhXvkA?si=yZRkLlA-39W6CCjA
  3. JamiiForums Tanzania Dome Okochi Budohi na harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika

    Kulikuwepo na wazalendo kutoka nchi jirani ya Kenya kama vile Dome Okochi Budohi na Patrick Aoko ambao walikuwa wanajua vyema siasa za walowezi za kupora ardhi za wananchi. Kutoka kwa wazalendo kama hawa, Abdulwahid alipata usikivu wa mawazo yake ya kuigeuza TAA kuwa chama cha siasa chenye...
  4. JamiiForums Tanzania Dome Okochi Budohi: Mkenya katika Harakati za TAA na TANU 1950s

    DOME OKOCHI BUDOHI MZALENDO KUTOKA KENYA ALIYEPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Naamini umeona hiyo video ya ufunguzi wa kumbi 12 zinazohifadhi historia ya Wakenya katika kupigania uhuru wa nchi yao. Video hii imenitia hamu ya kumweleza Dome Okochi Budohi. Sijui kama katika kumbi hizo kuna historia...
  5. JamiiForums Tanzania Dome Okochi Budohi "Mau Mau" ndani ya TANU?

    DOME OKOCHI BUDOHI "MAU MAU" NDANI YA TANU? Kadi ya TANU ya Dome Budohi ni no. 6. Dome Budohi alikuwa Mluya kutoka Kenya lakini alikuwa mwanachama na kiongozi wa TAA na hivi ndivyo alivyoweza kupata kadi hiyo no. 6. Mimi nikimfahamu katika utoto wangu kwa jina la Dickson alipokuwa akija kwetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…