Akijibu swali la mwandishi kuhusu uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Tax, kujiunga na tume ya kuchunguza yaliyotokea wakati wa uchaguzi pamoja na kuwepo kwa tuhuma kwamba Jeshi analolisimamia lilihusishwa na mauaji ya waandamanaji, mwenyekiti wa tume...