Na Mwandishi Wetu,
Kahe
Wazee wa mila wa kabila la Wakahe na Wamaasai kutoka Kata ya Kahe Magharibi, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kijiji cha Ngasini, Mhe. Goodluck Meshack Mlay, pamoja na wazee wa Mila akiwemo Andasoni Kireja, Godsoni Samweli, Peter Melisoki na Laigwanani David Laiza...