dkt. emmanuel nchimbi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee wangu Emmanuel Nchimbi ubarikiwe kwa kumchangia Lissu, naomba kila mkutano wa CCM tumchangie, Rais Samia

    CCM wana roho njema sana, sasa wamechukua jukumu la kuhakikisha Tundu Lissu anapata gari. Chadema wameshindwa kumpa gari kiongozi wao mkuu. Nashauri kila mkutano wa CCM wamchangie Lissu, na pia Mama Samia ampe surprise ya mchango katika moja ya mikutano ya hadhara. PIA SOMA - Kuelekea 2025 -...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kama Polisi wana sababu kuwakamata viongozi CHADEMA na hawafanyi kazi kwa maagizo ya CCM, walipaswa kulikataa agizo la Nchimbi

    Mara nyingi nimesema kwamba Polisi Tanzania wanafanya kazi kwa namna ambayo ni very unprofessional na kwa lengo la kuwafurahisha CCM. Wanajikomba, wanajipendekeza kwa CCM kupita kiasi, hadi inatia aibu na kichefuchefu. Sasa katika tukio la Mbeya la viongozi wa Chadema kukamatwa, Dr. Nchimbi...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa tamko hili la Dr. Nchimbi inamaanisha Intelijensia ya CCM ndiyo inayotumiwa kukamata viongozi wa upinzani?

    Hata sina haja ya kujieleza, Dr Nchimbi ametufumbua macho kwamba Intelijensia ya Chama chake ndiyo iliyoelekeza kwamba Mbeya hapakaliki na kusababisha kukamatwa viongozi wa CHADEMA kinyume cha sheria. Mfano mzuri nini kilichosababisha Mbowe akamatwe uwanja wa Ndege kama watangulizi wake...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmanuel Nchimbi: Nililipiwa ada na Hayati Mkapa. Nasikitika kutohudhuria mazishi yake

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu Mkuu wa CCM Dkt Emmanueli Nchimbi Ametua kusini Rasmi kuanza na kuendelea na ziara yake ya kichama kama ambavyo niliwajuzeni humu jukwaani. Ambapo ameambatana na wajumbe wa sekretarieti akiwepo katibu wetu Mwenezi CCM Taifa Ndugu CPA Amos Makala. Ambapo katibu...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: CCM ikitikisika hakuna Tanzania madhubuti

    Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi amesema maneno ya Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere bado yanaishi ya kwamba CCM ikitikisika hakutokuwa na Nchi madhubuti na hivyo amewataka kila Mtanzania moyoni mwake asikie kwamba uimara na umadhubuti wa Nchi unamtegeme. Akiongea Mkoani Singida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…