Katibu Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi na Mbunge mstaafu Dkt. Bashiru Ali Kakurwa amewatoa hofu Vijana na Watanzania kwa ujumla, akiwaeleza kuwa Mgombea Urais wa Chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kiongozi madhubuti na hodari aliyeyashinda majaribu mengi, akisisitiza kuwa anao uwezo...