dk mwinyi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi: Tumeanza mazungumzo na ACT Wazalendo ya malalamiko yao kuhusu Serikali ya umoja ya Kitaifa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amevunja ukimya kuhusu mazungumzo yanayoendelea baina ya chama chake na ACT Wazalendo kuhusu Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK). Mara kadhaa viongozi wa ACT Wazalendo ndiyo wamekuwa wakizungumza kuhusu mazungumzo...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt Mwinyi achangia Milioni 50 Harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amechangia Milioni 50 Harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025 Harambee hii inalenga kukusanya shilingi bilioni 100 kwa ajili ya maandalizi ya kampeni, ikiwemo gharama za magari, mabango, mafuta, fulana na kanga.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ahsante Dk Mwinyi mwenye kuelewa na aelewe

    Dkt. Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi amewataka waislamu wote kuendelea kuutimiza wajibu wa kuuheshimu mwezi wa Ramadhani na kuachana na mambo yote yanayokwenda kinyume na mwezi mtukufu.
  4. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Makamu wa Rais wa Tanzania ni ipi, Kwanini Rais wa Zanzibar awe Msaidizi wa Rais Samia?

    Wataalam wa Masuala ya Protokali na Katiba ya Nchi tunaomba Maelezo yenu ili tuelewe, Siku tutakuja kuambiwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake au Kizimkazi Kamwakilisha Rais Nchi Fulani. Ikiwa Makamu wa Rais wa Tanzania yupo na ni mzima wa Afya, inakuwaje mtu asiye na cheo chochote Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…