Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kurudi nyuma mpaka miaka ya 90, tulikuwa na kizazi cha kipekee ya burudani, wazee wa Disco Vumbi. Watoto mwisho saa 12 jioni kisha saa 1 usiku mpaka majogoo ni mwendo wa dancehall.
https://youtu.be/souwByxnz0w?si=ImOldzFPAD7fUcmC
Enzi hizo ladies free halafu wanaume...