Mwakilishi wa Sekta Binafsi, Rostam Azizi, ametoa wito kwa wadau wa maendeleo ya uchumi kufanya mabadiliko makubwa katika sekta ya kifedha ili kuhakikisha wafanyabiashara wa Kitanzania wanapata mitaji ya kutosha kwa ajili ya kuwekeza na kukuza biashara zao.
Amesema mfumo wa sasa wa benki nchini...