Watanzania hatujazoea kuona damu za watu wetu, ndugu zetu zinamwaga kiholela;huu sio utamaduni wetu. Pamoja tunakataa utawala wa unyanyasaji ,tunakataa utawala wa mabavu, utawala unaomwaga damu za ndugu zetu bila kujali.
Pamoja tunakataa utawala wa watu wasiofuatata katiba na sheria za nchi...