Rais wa Marekani, Donald Trump, amethibitisha kwamba rapa na mfanyabiashara maarufu Sean “Diddy” Combs amemuomba msamaha wa rais kufuatia kesi yake ya jinai ya shirikisho.
Trump alitoa kauli hiyo akizungumza kuhusu watu mbalimbali ambao wamemwomba msamaha, akisema:
“Nimepata watu wengi...