dhambi na ukatili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Usigeuke kuwa chanzo cha dhambi na ukatili

    Omb 4:13 SUV [13] Ni kwa sababu ya dhambi za manabii wake Na maovu ya makuhani wake, Walioimwaga damu ya wenye haki Katikati yake. Viongozi wa kiroho wa Israel, yaani manabii na makuhani, walishindwa kutimiza wajibu wao na kugeuka chanzo cha dhambi na ukatili kwa watu wao. Uongozi wowote wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…