Mimi ni dereva wa tax mtandaoni maarufu kama bolt , na uber nina leseni yenye daraja c pia ninauzoefu na kazi hii. Ninatafuta gari ya hesabu. Ni dereva mwaminifu na mtunzaji wa gari. Gari ya mafuta hesabu 150000. Gari ya gesi hesabu 200000. Ninapatikana kwa namba hizi. 0628192114. 0786094712.
Ah naitwa Ernest. Natafuta gari ya hesabu. Haijalishi ni namba ya private au commercial. Na leseni class C.
Na uzoefu wa miaka 4 kwenye Uber n Bolt.
No yangu:
0783610244
0783610244
0783610244