Habari.
Mimi ni dereva wa daraja la VIP (Grade II) natafuta kazi ya udereva. Nina umri wa miaka 32 na nipo Dar es Salaam.
Nina cheti cha udereva kutoka VETA na pia cheti cha Kidato cha Nne (Form IV). Nina uzoefu wa miaka 7 kwenye udereva, mtanashati, muelewa, na ninajua lugha ya Kiingereza...
Habari!
Mimi ni Dereva mzoefu na nimeendesha Gari kwa miaka mitatu Sasa Bila kupata Ajali,
Natafuta Gari ya mkataba Au Hesabu kwaajili ya kutumia kama Uber na Bolt. Pia nipo Tayari kuwa Dereva wa Mtu au Kampuni.
Namba zangu Hizi:
0614424736