Tha De-Plow-Matz (mara nyingi hufupishwa kwa: DPT) lilikuwa kundi la muziki wa hip hop lililotamba sana katika miaka ya tisini .
NI Kundi linaundwa na Saigon (jina halisi Saleeh Mzee), Dolasoul (jina halisi Ahmed Dola), Trip Dogg (jina halisi Philip Mwinmanji) na Storm (jina halisi Amour...