Wiki iliyopita nilienda Zahanati ya Kimara Mwisho kwa ajili ya matibabu ya kijana wangu ambaye hakuwa sawa kiafya, baada ya kufika tulipokelewa na kufanyiwa vipimo vinavyohitajika.
Hata hivyo, baada ya majibu kutoka, tuliandikiwa dawa muhimu kwa ajili ya matibabu yake lakini nikaambiwa...
Anonymous
Thread
dawadawamuhimu
kimara
kituo
muhimu
nje
sawa
sio
wagonjwa
zahanati
Habari, za wakati huu wana Jf,
Mimi kijana mwenzenu mpambanaji nimekuja hapa kuomba kufahamishwa utaratibu wa kufungua duka la dawa muhimu za binadamu (DLDM). Kitaalamu mimi ni afisa muuguzi II, mahali nilipo nimeona fursa ya kufungua duka la dawa muhimu ila tatizo sielewi utaratibu ukoje...
Wadau nina shida na dawa moja lakini nimetafuta kwa hapa Tanzania haipo nataka kuagiza India naomba mwenye connection ya huko anisaidie au kama kuna mtu huwa anaagiza vitu huko anisaidie niwasiliane nae.
Naomba kuwasilisha wakuu.
Kuna kitu kimejificha kwenye hili kati ya Pharmacy Council na wamiliki wa DLDM (Maduka ya Dawa Muhimu), Kwa nini mpaka leo dawa za antibiotics zinauzwa tu kwenye DLDM licha ya katazo?
Wenye Famasi wanahangaika kupata mapato na gharama za uendeshaji ni mkubwa tofauti na DLDM.
Tunaomba mamlaka...
Anonymous
Thread
afya
dawamuhimu
duka dawamuhimu
uuzwaji dawa kiholela