Kamishna wa Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi, Davidi Kafulila, ametoa tathmini yake ya Bunge la 12 kuwa lenye mafanikio makubwa kwa kuisimamia Serikali ya Awamu ya Sita kuwa na mafanikio kuliko awamu zilizopita.
Kafulila amesema kuwa moja ya mikakati ya kupunguza umasikini nchini ni...