Kwa msiojua CTC ni kituo cha kuchukulia dawa za kudhibiti virusi vya HIV (UKIMWI).
Anayechukua dawa hizo anaweza kuwa ni mtumiaji wa muda mrefu au yeyote yule anayejiona ameingia kwenye hali hatarishi ya kupata maambukizi.
Sasa juzikati harakati za maisha zilinifikisha kwenye moja kati ya...