Kajizolea umaarufu kwa video za ushauri huko tiktok na instagram
Si hivyo tu, kajizolea umaarufu kwa namna ya kipekee, mwisho wa video zake husisitiza "Nachoka mimi Baba yenu Clemence Mwandambo"
Eneo la makaz - Mbeya Mjini
Kabila - Msafwa
Shughuli - Mmiliki wa shule ya St Clemmence