Kampeni ya ‘Chupa la Machupa’ imepelekwa rasmi Forodhani, Zanzibar, kuleta msisimko mpya katika mandhari ya eneo hili maarufu mjini Zanzibar.
Forodhani ni eneo lililopo katikati ya Mji Mkongwe, kati ya Jumba la Makumbusho na Ngome Kongwe, ni kivutio kikubwa cha wageni na wenyeji kila jioni...