Amefunguka da Christina...
"Tunaongea sana pamoja, yeye akiwa na shida ananipigia namshauri kama dada yake na mimi nikiwa na shida namtafuta. Tunazungumza mengi mengine ni ya siri na tumekuwa karibu kwa sababu wote tunatoka Kigoma"
"Kiukweli hakuna mtu anayeweza kunilipa nikaimbe kwenye...