Hii nchi bwana haiishiwi vituko yani nikama kila sekta pana watu wasiokua na weledi na fani wanazozitumikia yani.
Pamoja nakua tunapokua shuleni na vyuoni tunakumbana na misemo nahau vitendawili methali na kadhalika lakini havitusaidii lolote. Kwamfano unaweza kushangazwa na Jeshi la Polisi...