changamoto za wapangaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hakikisha mwenye nyumba anakupa funguo zote. Nimemkuta ndani kwangu, ameingia bila ridhaa yangu

    Wakuu! Nimekutana na tukio ambalo si la kawaida baada ya kurudi nyumbani na kumkuta mwenye nyumba wangu yupo ndani ya nyumba niliyopanga bila ridhaa yangu. Nilishangaa kumkuta akiwa ndani, na wala hakushtuka. Mpaka sasa sijajua alikuwa ana lengo gani kwa kweli. Bora hata kungekuwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kusingiziwa/ kusemwa jambo ambalo si kweli?

    Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote. Aisee hii imenitokea Leo na imefanya nakosa usingizi Kwa mawazo. Nimepanga nyumba ambayo jumla tupo wapangaji 3. Wenzangu wote wopo mume na mke isipokua mimi. Jirani mmoja nimese jirani namba 1 alimsimulia jirani namba 2 kwamba mimi jirani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…