Habari za muda huu wakuu. Naomba kuuliza, je, huduma za usajili kama cheti cha kuzaliwa mtandaoni, TIN online, BRELA na nyinginezo—ni lazima upate msaada kutoka kwa wahusika, au ni suala la kuwa na ujuzi tu wa kutumia mifumo hiyo?
Tokea juzi ninapata shida kupata access ya kuingia inanigomea si kwa simu wala computer.
Shida ni nini?
Pia soma:
https://www.jamiiforums.com/threads/ccm-hawakurupuki-kwenye-mambo-yao-na-mtu-akizingua-anafinywa-ndani-huwezi-kuta-wanaparuana-nje-hapa-ndio-chadema-mnafeli.2297839/